Diploma ya Elimu ya Sheria ya Kiislam

Diploma ya Elimu ya Sheria ya Kiislamu: Mwanafunzi husoma bila malipo na kwa njia ya mtandao kwa muda wa mwaka mmoja, akisoma masomo 12 ya Kiislamu yaliyogawanywa katika mihula miwili ya masomo. Mwisho wa masomo, endapo atafaulu masomo yote, atastahiki cheti kinachotambuliwa rasmi kutoka Africa Academy.

Faili linaloelezea kwa upana njia ya masomo kupakuliwa: Mwongozo wa Mwanafunzi

Masomo ya stashahada (Diploma)

የፕሮግራሙ ትምህርታዊ ይዘት፡-

Maudhui ya Kielimu:

Kurasa 2,500 za kusoma
0
Masaa 4,500 ya video na sauti
0
Maswali 780 ya uelewa (ufahamu)
0