Hizi ni kozi fupi, za bure na za mtandaoni katika mada za Kiislamu na kiutamaduni zinazowahusu Waislamu wote.Kozi hizi zinapatikana muda wote wa mwaka, na mwishoni mwa kila kozi kuna mtihani, endapo mwanafunzi akifaulu, hupata cheti cha kozi.
Kwa hatua rahisi na ukiwa mahali popote, unaweza kujifunza elimu ya Kiislamu kwa urahisi na wepesi:Unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo
Tengeneza akaunti yako
Chagua njia ya kozi fupi
Chagua kozi inayokufaa
Jisajili na anza safari ya kujifunza
Pata cheti chako mwishoni mwa kozi