Kozi zinazopatikana
Diploma ya Sharia
Diploma ya Elimu ya Sheria ya Kiislamu: Mwanafunzi husoma bila malipo na kwa njia ya mtandao kwa muda wa mwaka mmoja, akisoma masomo 12 ya Kiislamu yaliyogawanywa katika mihula miwili ya masomo. Mwisho wa masomo, endapo atafaulu masomo yote, atastahiki cheti kinachotambuliwa rasmi kutoka Africa Academy.
- Wanafunzi waliojiunga: 6489
Africa Academy
Akademia ya kwanza ya kufundisha Elimu ya Kisheria bure kabisa kupitia mtandao (intaneti) na kwa lugha ya Kiswahili
Anza kusoma sasaNjia za kujifunza
Diploma ya Sheria
Mwanafunzi husoma bila malipo na kwa njia ya mtandao kwa muda wa mwaka mmoja, akisoma masomo 12 ya Kiislamu yaliyogawanywa katika mihula miwili ya masomo.
Kozi fupi
Kozi fupi-fupi katika mada muhimu zinazomhusu Muislamu katika dini na utamaduni wake, bure na kupitia mtandao, zinapatikana mwaka mzima.
Diploma ya Elimu ya Sheria ya Kiislamu
Programu ya bure ya mtandaoni ya mwaka mmoja inayojumuisha masomo 6 ya Kiislamu katika mihula miwili, inayoongoza kwenye cheti kinachotambuliwa rasmi kutoka Africa Academy.
Tafsiri
Fiqh
Aqidah
Hadithi
Sira ya Mtume ﷺ
Malezi ya Kiislamu
Kozi fupi
Kozi za mtandaoni zinazohusu mada za Kiislamu na za kitamaduni, zinapatikana mwaka mzima. Kamilisha mtihani wa mwisho ili kupata cheti cha kozi yako.
Takwimu za Akademia
54,931
Idadi ya Vyeti
29
Idadi ya Nchi
30,176
Wanafunzi Wote
11,370
Idadi ya Wanaume
16,710
Idadi ya Wanawake
1,412
Wahitimu
Waalimu wa Chuo
Sheikh Ally Nassor
Sheikh Hassan Muhammadyn
Sheikh Shamsi Elmi
Sheikh Muharam Mwaita
Sheikh Salim Qahtwaan
Sheikh Shahid Mohammed
Maoni ya wanafunzi kuhusu Africa Academy
" Njia za kozi moja kisha nyingine (moja moja) na njia nyepesi ya ufundishaji ni kitu kilichorahisisha kufahamu elimu ya kisheria, na uwepo wa vyeti umenipa motisha sana. Allah awawafiqishe na awalipe kheri".
Makkah Nuru
Mwanafunzi wa Africa Academy"Kwa muda mchache nimepata faida kubwa na nimeongeza maarifa mengi ya kuhusu dini"
Saada Said
Mwanafunzi wa Africa Academy" Enyi ndugu zangu, nina furaha sana kwa sababu kozi hizi zinatuhamasisha na kutusaidia kujifunza elimu na tunatumia dalili kwa elimu kwa wakati unaofaa zaidi."
